Thursday, 19 July 2018

      

 Runinga Ibadilishayo Maisha Yako

Nyimbo za uvuvio

Nyimbo za uvuvio ni kipindi kitakachokuburudisha na kukupa elimu mbalimbali za Kibiblia. Ni kipindi mahususi kwa ajili ya mtu yeyote kwani kina mafundisho makuu na mazuri kwa ajili ya ukuaji wetu kiroho.Utapata nyimbo mbalimbali zenye uvuvio na zitakuleta karibu zaidi na msalaba.Kitakuwa hewani kila siku kuanzia saa kumi na moja na nusu asubuhi.Ubarikwe unapochukua hatua kufuatilia kipindi hiki kizur.

Read 1422 times