Thursday, 19 July 2018

      

 Runinga Ibadilishayo Maisha Yako

Kaya na familia

Kaya na familia ni kipindi kitachokupa uzoefu wa maisha katika familia zetu na jamii kwa ujumla.ni kipindi kizuri kwa ajili ya Vijana wanaotegemea kuoa au kuolewa,walio katika ndoa.Utapata kujua namna gani ya kuwa kiongozi mzuri ndani ya familia.Vile vile kitakupatia namna njema ya kujiandaa kuwa baba au mama bora katika malezi ya watoto wetu hasa katika ulimwengu wetu huu uliokosa maadili.Ubarikiwe unapojiandaa kutizama kipindi hiki ndani ya kituo chako bora cha Morning star Television.

Read 1213 times

Related items